top of page

HUDUMA ZETU

​We are the major agrovet dealers in Tanzania. We offer a wide range of services for all your Animal Care needs, Veterinary Services and Products. inline with the recommended standards.

HUDUMA ZINGINE

Dog Training and Guides

Kwa wanaopenda Mbwa awe na tabia unayoitaka wewe, pamoja na kuongeza uwezo wa ulinzi.

WAKALA WA MIFUGO
MATIBABU

Pata huduma ya matibabu ya mifugo kwa haraka popote ulipo tunakufikia.

Pia huduma ya usimamizi wa mradi wako wa ufugaji na kuweza kutembelewa na daktari wa mifugo kila wiki popote ulipo.

Pata vifaranga bora wa kuku, kanga, bata, bata mzinga, na mayao ya kula/kutotolesha.

UJENZI WA MABANDA
CHAKULA CHA MIFUGO

Pata chakula bora cha mifugo kinachoendana na umri wa mifugo na aina ya mifugo ili kutimiza malengo yako ya ufugaji, tumia chakula kilichoandaliwa kitaalam.

Jenga mabanda bora ya mifugo kwa kutumia gharama ndogo, pata mabanda yanayoendana na aina ya mifugo yako ili kutimiza malengo ya ufugaji.

CHANJO NA MADAWA YA MIFUGO

ReSta AgroVET, tunaanda semina za mafunzo ya ufugaji kwa wajasiriamali na wafugaji wa aina zote,  Tunatoa ushauri kuhusiana na miradi ya ufugaji ili kufuga kwa tija, tunaelimisha jamii kuhusu ufugaji kupitia vituo vya Redio Tv na Mitandao ya kijamii ili jamii zetu ziweze kujikwamua kiuchumi.

 

Wasiliana nasi kufahamu mengi zaidi...

Pata chanjo zote za mifugo zenye ubora kwa wakati, pata madawa ya mifugo kwa afya ya mifugo yako.

Vifaranga & kuku wakubwa

Ongea na Daktari​

Chanjo na Kinga !

Get your lovely puppy

for pet and security dog lovers

Farm and housing structure​

Ujenzi wa mabanda kulingana na mifugo.

Ufugaji wa Samaki kibiashara​

Zingatia ujenzi wa mabwawa na mambo muhimu.

Cages na Vifaa muhimu​

Jipatie pembejeo zote za muhimu.

© 2018 ReSta AgroVET Tanzania. 0763222500/ 0652515242, The Recommended Standard for All your Animal Care needs, Veterinary  Services and Products.

bottom of page