top of page

Ufugaji wa kuku wa kienyeji

  • Writer: ReSta AgroVET
    ReSta AgroVET
  • Jul 4, 2018
  • 1 min read

Updated: Jul 5, 2018


Ili  kuongeza uzalishaji wa kuku bora katika mradi wa kuku ni muhimu kutumia kuku wazazi wazuri na wanaotaga mayai mazuri  kwa ajili ya maendeleo ya aina ya kuku wazuri bandani kwako.

Ili kuondoa kuku wasiokuwa na sifa nzuri za kiuzalishaji ndani ya mradi wa kuku na kupata aina fulani mpya au kuboresha aina mbalimbali ya kuku watakaoongeza uzalishaji kwa wingi na ubora wa mayai, Vitu  vifuatavyo ni lazima vizingatiwe kuanzia kwenye mayai:::

1.Yai 2. Ukuaji wa kuku 3. uzito wa yai 4. uzito wa kuku 5. ufanisi wa lishe (feed efficiency) 6. ukubwa wa yai 7. Shepu ya yai 8. rangi ya ganda la yai (shell) 9. ubora wa ganda la yai (shell) 10. Ubora wa yai kwa ndani

Mayai yenye kiini (fertile egg) yanayoweza kurutubishwa huharibika haraka kuliko mayai yasioweza kurutubishwa , kwa hivyo, katika kuandaa mayai ya kutotoleshwa ni lazima yahifadhiwe vizuri kwa muda mfupi.

Kuku wana uwezo wa kutaga bila uwepo wa jogoo lakini yai lake hukosa uwezo wa kutotoleshwa kuleta kufaranga (infertile egg).

#Dr Riziki Ngogo (Vet)

Comments


Vifaranga & kuku wakubwa

Ongea na Daktari​

Chanjo na Kinga !

Get your lovely puppy

for pet and security dog lovers

Farm and housing structure​

Ujenzi wa mabanda kulingana na mifugo.

Ufugaji wa Samaki kibiashara​

Zingatia ujenzi wa mabwawa na mambo muhimu.

Cages na Vifaa muhimu​

Jipatie pembejeo zote za muhimu.

© 2018 ReSta AgroVET Tanzania. 0763222500/ 0652515242, The Recommended Standard for All your Animal Care needs, Veterinary  Services and Products.

bottom of page