JE NI KIASI GANI CHA FEDHA INAYOHITAJIKA KUANZISHA MRADI WA UFUGAJI WA KUKU?
- ReSta AgroVET
- Jul 4, 2018
- 1 min read

UCHUNGUZI WAKO, ZINGATIA GHARAMA ZA÷⬇
✅ *Gharama za uwekezaji* Zingatia
💰Ardhi
💰usafiri
💰majengo(mabanda)
💰Vifaa
💰Tahadhari
💰chanjo, madawa na matibabu
💰chakula kwa kuku mmoja kuanzia kifaranga hadi siku ya kuuza
💰mshahara wa mfanya kazi
💰umeme Kw/h
💰vifaa bya kuwekea bidhaa zitokanazo na ufugaji
💰gharama za uchakavu wa jengo
💰gharama za uchakavu wa vitu vingine.
✅ *Pia Zingatia*
💰mauzo/bei ya mayai
💰mauzo /bei ya kuku
💰mauzo/bei ya mbolea ya kuku.

*Ili kukabiliana na changamoto ni muhimu kufahamu vitu mbalimbali vya muhumu kutoka kwa mtu mwingine anayefanya vitu vinavyofanana na unachotaka kukifanya wewe*
*MIFUGO BIASHARA INAWEZEKANA WEWE ULIYEIPATA ELIMU HII IKUSAIDIE UFANIKIWE NAWE UWASAIDIE WENGINE*
☎📞Riziki Ngogo(Vet Dr) 0763222500/0652515242 restaagrovet@gmail.com
Comments